Fedha kwa maana ya malipo au sarafu angalia makala ya pesa
Fedha (kutoka Kiarabu فضة; kisayansi pia: ajenti/agenti kutoka Kilatini 'argentum') ni elementi na metali yenye kifupi cha Ag na namba atomia 47 katika mfumo radidia. Uzani atomia ni 107.86. Ajenti huyeyuka kwa 1234,93 K (961,78 °C) na kuchemka kwa 2435 K (2162 °C).
Kiasili yatokea kama metali nyeupenyeupe na laini au kama mchanganyiko katika madini. Kati ya metali zote fedha ni wayaikaji na inapitisha vizuri umeme.
Huhesabiwa kati ya metali ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa