Wanga ni dutu ogania inayojengwa ndani ya seli za mimea.
Kwa matumizi ya kibinadamu ni sehemu muhimu ya chakula katika vyakula kama ugali, ndizi, viazi, pasta na mkate.
Kikemia wanga ni kabohidrati aina ya polisakaridi yenye fomula (C6H10O5)n. Inajengwa kwa molekuli ndogo zaidi za glukosi.
Mimea hujenga molekyuli za wanga kama njia ya kutunza akiba ya nishati. Inaonekana kwa hadubini kama punje ndogo ndani ya seli.
Nje ya matumizi kama chakula wanga imetumiwa pia tangu karne nyingi kama gundi. Ikipashwa ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa