Chuma (kisayansi pia: feri kutoka Kilatini 'ferrum'; kifupi: Fe) ni elementi na metali inayopatikana kwa wingi duniani. Kikemia ni elementi mpito yenye namba atomia 26 katika mfumo radidia.
Chuma ni kati ya metali muhimu sana duniani. Chuma ni msingi wa feleji (chuma cha pua) ambayo ni uti wa mgongo wa maendeleo ya kiteknolojia ya miaka 100 iliyopita. Asilimia 95 ya vifaa vote vya metali vinavyotengenezwa duniani ni chuma.
Udhaifu wa chuma kwa matumizi yake ni tabia yake ya kubadilika kuwa kutu. ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa