Endometriosisi ni ugonjwa ambapo tishu ambazo kwa kawaida hukua ndani ya uterasi hukua nje ya uterasi. Dalili zake kuu ni maumivu ya pelvisi na utasa. Takribani nusu ya watu huwa na maumivu sugu ya pelvisi ilhali asilimia 70 ya maumivu hutokea wakati wa hedhi. maumivu wakati wa kushiriki ngono ni ya kawaida. Utasa hutokea kwa hadi nusu ya watu. Endometriosisi inaweza kusababisha athari za kijamii na kiafya. Dalili zisizo za kawaida sana hujumuisha zile za mkojo na utumbo. Takribani asilimia 25 ya ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa