Miwati ni miti ya jenasi Acacia katika familia Fabaceae iliyo na majani yenye sehemu nyingi, lakini vikonyo vya majani vya spishi nyingi vimekuwa vipana na vimebadili majani menyewe. Zamani jenasi hii ilikuwa na spishi takriban 1300 lakini wanasayansi wameigawanya kwenye jenasi tano sasa: Acacia, Vachellia, Senegalia, Acaciella na Mariosousa. Spishi za Acacia zinatofautiana na zile za jenasi Vachellia, Senegalia na Acaciella kwa ukosa wa miiba (ghairi ya muwati kangaruu). Hazina mastipula (majani ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa