Glukosi (C6H12O6; kutoka Kigiriki 'γλυκύς', tamu) ni sukari ya monosakaridi kwa hiyo aina ya kabohidrati.
Ni kabohidarti muhimu katika biolojia. Seli huitumia kama chanzo cha nishati na nguvu.
Glukosi hujengwa na seli za mimea katika mchakato wa usanisinuru.
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa