Zinki ni elementi yenye namba atomia 30 kwenye mfumo radidia, uzani atomia ni 65.409. Alama yake ni Zi.
Katika mazingira ya kawaida ni metali yenye rangi ya buluu-nyeupe. Kiwango chake cha kuyeyuka ni 1,180 C°.
Hupatikana ndani ya madini, haitokei kiasili kama elementi tupu. Huchimbwa hasa China, Peru, Australia, Kanada, Marekani, Meksiko na Afrika Kusini.
Matumizi ya zinki ni takriban tani milioni 11 (kwa mwaka 2006). Takriban nusu yake ni kwa kuzuia ubabuzi (kutokea kwa kutu) wa mabati au vifaa ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa