Afyuni (kwa Kiarabu أفيون) ni dawa asilia inayopatikana kutokana na utomvu uliokauka wa maua ya mpopi (jina la kisayansi: Papaver somniferum - kwa Kiingereza: Opium poppy). Ndani yake mna kemikali mbalimbali ambazo ni kati ya dawa kali kabisa zenye uwezo wa kutuliza maumivu lakini zinasababisha pia ulevi unaozoesha watu haraka na kuwafanya wasiweze kuacha ulevi huo.
Afyuni hutuliza maumivu, kuondoa mikakamao, inapunguza hisi ya njaa na husimamisha kuhara. Inasababisha pia ndoto zinazopendwa na watu ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa