Unene wa kupindukia (kwa Kiingereza 'obesity' kutokana na neno la Kilatini obesitas, linalomaanisha 'gumu, nono au nene” ; jina la kisayansi kwa Kilatini ni 'adipositas') ni hali mbaya ambapo mafuta ya ziada ya mwili hulimbikizana hadi kiwango kinachoweza kuathiri vikubwa afya, ikipelekea ongezeko la maradhi na kupungua kwa matarajio ya kuishi. Kipimo cha mwili kuwa mnene na mzito mno ni uwiano kati ya urefu wa mtu na uzito wake. Watu hutajika kuwa na unene wa kupindukia wakati nambapeo ya mata ya ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa