Tambazi (ing. oedema, edema) ni maradhi inayosababisha uvimbe kwenye mwili. Inaonekana hasa mkononi, mguuni na tumboni lakini inaweza kutokea pia ndani ya mwili.Inapatikana wakati viowevu (majimaji) vinatoka kwenye mishipa midogo mwilini na kukusanyika katika tishu yaani kati ya seli za mwili.Tambazi ya mapafu (ing. pulmonary edema ) ni mkusanyiko wa majimaji kwenye mapafu. Hali hii ni hatari kwa sababu kiowevu ndani ya mapafu inaleta matata ya kupumua, inapunguza oksijeni inayopatikana mwilini na ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa