Maumivu ya kichwa (kwa Kiingereza 'headache') ni maumivu ya aina 220 tofauti yanayotokea sehemu za kichwa bila hicho kugongwa kwa nje.
Sababu za ndani za maumivu hayo ni kama vile:
kusoma au kutazama kompyuta au televisheni kwa muda mrefu
kifafa au matatizo mengine ya nevaMaumivi mengi yanapozwa na dawa, k.mf. aspirini.
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa