Kutapika ni hali ya mtu au mnyama kutokwa kwa nguvu na vitu vilivyojikusanya tumboni kupitia mdomoni na wakati mwingine puani.
Mtu akihisi kutaka kutapika huitwa mtu huyo ana kichefuchefu.
Kuna sababu nyingi ambazo zINamfanya mtu atapike; miongoni mwa vitu hivyo kupewa sumu au kukumbwa na baadhi ya magonjwa au tumbo lake kuwa bovu na kutoweza kusaga chakula kilichoMo tumboni.
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa