Kichefuchefu (pia: kijelezi, kitefutefu) ni msukosuko wa moyo unaomfanya mtu kuhisi kinyaa au uchafukaji wa tumbo na baada ya hapo mara nyingi hutapika.
Ni dalili mojawapo ya ugonjwa mbalimbali.
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa