Kikohozi ni kitendo cha ghafla na kinachojirudiarudia kama sehemu ya mwili kukabiliana na vitu vigeni na vijidudu vya magonjwa katika njia ya hewa. Tunakohoa ili kuondoa vitu hivyo vitoke kwenye njia ya hewa.
Kitendo cha kukohoa kimegawanyika katika awamu tatu:
Kutoa hewa kwa nguvu dhidi ya koo (glota) lilofungwa,
kutoa hewa kwa kasi kutoka kwenye mapafu baada ya kufunguka kwa glota, kwa kawaida hutoka kwa sauti isiyo ya kawaida. Kikohozi kinaweza kuwa tendo la hiari au lisilo hiari.Kikohozi cha ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa