Shambulio la mfululizo la kifafa (kifupi: SMK; kwa Kilatini status epilepticus) ni tukutiko la kifafa la zaidi ya dakika tano au matukutiko zaidi ya moja katika muda wa dakika tano bila mtu kurudia hali ya kawaida. Matukutiko yanaweza kuwa ya misukosuko yaliyo na mtindo wa kubana na kunyosha mikono na miguu au ya aina ambazo hazihusishi ubanaji kama vile kifafa cha muda mfupi au nusu tukutiko changamani. Shambulio la mfululizo la kifafa ni hatari kwa uhai hasa iwapo matibabu yatacheleweshwa.
Shambulio ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa