Kigugumizi (kutoka kitenzi 'kugugumia', kwa Kiingereza: 'stuttering' au 'stammering' ni shida ya baadhi ya watu katika kusema: wanakadiriwa kuwa 5-6% za watoto na 1% za watu wazima. Wanaume wanapatwa mara 4 kuliko wanawake. Kwa kawaida shida inaanza katika umri wa miaka 2-6. Mhusika anajua la kusema, lakini maneno yanamtoka tofauti, kwa mfano kuna:
marudio ya fonimu, sehemu ya maneno au sentensi
mkwamo kabla ya maneno fulanifulani
urefushaji wa sauti (hhhhhhhhhham badala ya ham)
kusema kitu tofauti ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa