Ugonjwa wa mawasiliano (kwa Kiingereza 'Communication disorder') ni ugonjwa unaoathiri uwezo wa mtu wa kuelewa, kuchunguza, au kutumia lugha na kushindwa kutoa hoja ili kushiriki kwa ufanisi katika mazungumzo na wengine.
Husababishwa na hitilafu fulanifulani kwenye ubongo. Ugonjwa huu unamfanya mtu ashindwe kuongea mbele ya umati wa watu.
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa