Upofu wa rangi (kwa Kiingereza: 'colour blindness') ni ugonjwa unaomfanya mtu asiweze kuelezea tofauti kati ya rangi fulanifulani. Watu wenye ugonjwa huu hawawezi kuona tofauti ya rangi wakati wote.
Kwa kawaida ugonjwa huu ni wa kurithi, wakati mwingine ni matokeo ya uharibifu kwa mishipa ya macho au ya ubongo kushindwa kufanya kazi yake vizuri. Pia inaweza kusababishwa na mgusano na kemikali fulani na macho ya mtu.
Mara nyingi upofu wa rangi ni wa kudumu, yaani hauponi, lakini hali fulani inaweza ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa