Oti (kutoka Kiing. 'oats') ni mmea wa familia ya manyasi katika ngeli ya monokotiledoni. Mbegu au punje za oti ni nafaka ambayo ni chakula cha wanyama na pia cha watu katika nchi hasa za Ulaya na pia penginepo nje ya kanda ya tropiki. Tofauti na nafaka nyingi punje zake hazikai pamoja katika mshikano lakini ua lake linafanana zaidi na mpunga lakini mbegu ni tofauti kabisa.
Kihistoria ilikuwa chakula muhimu cha watu wa nchi za kaskazini kwa sababu inavumilia hali ya hewa baridi kiasi na mvua nyingi ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa