Mnavu au mnafu (Solanum nigrum) ni mmea katika familia Solanaceae. Kwa kawaida huu ni mmea wa pori, lakini unapandwa mahali pengi katika Afrika ya Mashariki. Mingi ya mimea ya pori ina sumu, matunda mabichi hasa. Kula kwa beri bichi na mara nyingi majani pia kunaweza kusababisha kifo cha watoto na mifugo. Lakini aina za mnavu zinazopandwa zinaweza kuliwa baada ya kuzipika. Majani huuzwa kwa jina la manavu. Matunda mabivu yanaweza kuliwa kwa kawaida bila kupikwa, aina zenye matunda mekundu au yenye ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa