Mpera (Psidium guajava) ni mti mdogo wa familia Myrtaceae.
Matunda yake huitwa mapera. Asili yake ni Amerika ya Kati na ya Kusini, lakini siku hizi unapandwa mahali pengi pa kanda za tropiki na nusutropiki.
Mti wa mpera unatoa dawa ya magonjwa mbalimbali, yakiwemo kifua, tezi dume, nguvu za kiume, fizi, chunusi, n.k. Kwa ajili hiyo hatua ya kwanza unachukua majani ya mpera, unayasaga na kuyakausha, halafu weka maji na yachemshe majani ya mpera yaani kama chai. Baadaye chukua chupa ili uhifadhi tayari ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa