Tatizo la Kutotulia (kwa Kiingereza: Attention-deficit/hyperactivity disorder) ni tatizo la kiakili linalohusu ukuaji wa nyuro ambapo kuna utovu wa umakinifu na kutenda kwa usukumizi ambavyo si mwafaka kwa umri wa mtu.Ili utambuzi ufanywe, dalili hizo ni sharti ziwe zimeanza mtoto akiwa kati ya miaka sita na kumi na mbili na zidhihirike kwa zaidi ya miezi sita. Kukosa kumakinika hufanya matokeo kuwa duni kwa watu wanaokwenda shule.
Licha ya hali hii kuwa tatizo la kiakili lililotafitiwa na kutambuliwa ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa