Kuoza kwa meno (caries ni neno la Kilatini kutoka 'rottenness'), pia hujulikana kama kuoza kwa jino, kaviti, au caries, ni kuharibika kwa meno kutokana na shughuli za bakteria. Kaviti inaweza kuwa na aina tofauti za rangi kutoka kijani kibichi hadi nyeusi. Dalili zinaweza kujumuisha maumivu na ugumu wa kula chakula. Matatizo yanaweza kujumuisha inflamesheni ya tishu zinazozunguka jino, kupoteza jino, na maambukizi au usaha hutokea.
Bakteria huharibu tishu ngumu ya meno (enameli, dentini na sementamu) ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa