Lukemia ni kansa ya seli nyeupe za damu na uboho wa mfupa. Kama mtu akiwa na lukemia, mwili huunda seli nyingi nyeupe za damu (kwa Kiingereza leukocytes) .
Kuna aina nyingi za lukemia. Lukemia ni mojawapo ya magonjwa makubwa ya damu (kwa Kiingereza hematological neoplasms). Lukemia inaweza kusababisha kifo ndani ya wiki, miezi, au miaka kama isipotibiwa. Maisha ya mtu hutegemeana na aina ya lukemia.
Mwaka wa 2000, watoto na watu wazima 256,000 duniani kote walipata aina fulani ya lukemia, na 209,000 ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa