Shtuko la moyo (kwa Kiingereza acute myocardial infarction au heart attack) linatokea pale ambapo ghafla mshipa wa damu ndani ya moyo unaziba. Mishipa ya namna hiyo inasafirisha damu na oksijeni. Mshipa mmojawapo moyoni ukiziba, damu haiwezi tena kufikia sehemu ya moyo, na hivyo sehemu hiyo inakuja kukosa oksijeni. Tukio hilo linaitwa iskemia (kwa Kiingerez: ischaemia), nalo mara nyingi linasababisha maumivu kifuani (angina pectoris). Ikiwa iskemia inadumu kirefu, msuli wa moyo unakufa kwa kukosa ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa