Saratani ya mapafu ni ugonjwa unaohusishwa na ukuaji wa seli katika tishu za mapafu. Tishu hii isipotibiwa, inaweza kuenea kwa njia inayoitwa metastasisi kwa tishu zilizokaribu au kwa mwili. Saratani zinazoanzia kwa mapafu, ziitwazo saratani za kwanza, ni kasinomasi zinazotoka kwa seli za epitheliumu. Aina kuu za saratani ni kasinoma ya mapafu ya seli ndogo (KMSN), pia huitwa saratani ya seli ya oat, na kasinoma ya mapafu ya seli kubwa (KMSK). Dalili inayojulikana sana ni kukohoa (pamoja na kukohoa ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa