Kisukari aina ya 2, uliojulikana awali kama kisukari kisichotegemea insulini au kisukari kinachoanza katika utu uzima ni tatizo la umetaboli linalotambulika kwa kiwango cha juu cha glukosi katika damu katika muktadha wa kukinza insulini na upungufu wa insulini kwa kiasi kidogo.Hii ni kinyume na kisukari aina ya 1 ambapo kuna upungufu wa insulini kufuatia kuharibika kwa seli za endokrini katika kongosho. Dalili kuu ni kiu kingi, kukojoa kila mara na kuhisi njaa kila wakati. Kisukari aina ya 2 huchangia ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa