Nimonia (kutoka Kiingereza 'Pneumonia') ni hali ya kuvimba ya pafu—inayoathiri hasa vifuko vya hewa viitwavyo alveoli. Husababishwa na maambukizi ya virusi au bakteria na kwa nadra kwa vimelea, baadhi ya dawa na magonjwa mengine kama ugonjwa wa kinga nafsia.Dalili hasa ni kikohozi, maumivu ya kifua, joto jingi mwilini na upumuaji mgumu. vifaa vya utambuzi ni eksirei na ukuzaji wa vimelea vya makohozi.
Chanjo za kuzuia baadhi ya aina za nimonia zipo. Matibabu hutegemea kisababishi cha msingi. Nimonia ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa