Sepsisi ni inflamesheni ya mwili mzima inayosababishwa na maambukizi. Ishara na dalili zinazotokea mara nyingi zinajumuisha homa, kuongezeka kwa mdundo wa moyo, kuongezeka kwa kasi ya kupumua, na kuchanganyikiwa. Kunaweza pia kuwa na dalili zinazohusiana na maambukizi maalum kama vile kukohoa pamoja na numonia au maumivu wakati wa kukojoa, na maambukizi ya figo. Watoto wachanga zaidi, wazee na watu wenye mfumo dhaifu wa kingamwili huenda wasiwe na dalili za maambukizi maalum na halijoto ya mwili ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa