Kwa ugonjwa tofauti ambao wakati mwingine jina lake linachanganywa tazama Homa ya manjano
Homa ya nyongo C (pia homanyongo C, kwa Kiingereza Hepatitis C) ni ugonjwa wa kuambukiza unaoshambulia zaidi ini.
Virusi vya Homanyongo C ndivyo vinavyosababisha ugonjwa huu wa ini. Kwa kawaida Homa ya nyongo C haionyeshi dalili zozote kwenye hatua za awali, lakini ugonjwa ukiendelea unaweza ukasababisha makovu katika maini, na baada ya miaka mingi ini linapata vidonda (cirrhosis). Kwa wagonjwa wengine vidonda ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa