Hepatitisi B (homa ya ini B) ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na virusi vya hepatitis B vinavyoathiri ini, hivyo ni aina ya homa ya ini. Ni kimojawapo kati ya virusi vitano vinavyojulikana vya homa hiyo: A, B, C, D, na E. Virusi hivyo vinaweza kusababisha maambukizi makali na ya muda mrefu.
Watu wengi hawana dalili mwanzoni mwa maambukizi. Wengine huanza kuugua haraka kwa kutapika, kupata ngozi ya manjano, kuhisi uchovu, kutoa mkojo mweusi na kupatwa na maumivu ya fumbatio. Mara nyingi dalili ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa