Sklerosisi ya sehemu nyingi (kwa Kiingereza multiple sclerosis) ambayo pia hujulikana kama sklerosisi iliyosambaa au enkefalomielitisi diseminata, ni ugonjwa wa kuvimba ambapo vihami za seli za neva kwenye ubongo na uti wa mgongo huharibiwa. Kuharibiwa huku hukatiza mawasiliano baina ya sehemu za mfumo wa neva, na kusababisha ishara na dalili anuwai, pamoja na za kimwili, ulemavu wa akili, na wakati mwingine magonjwa ya akili.Sklerosisi ya sehemu nyingi huwa na aina kadhaa zenye dalili mpya zinazotokea ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa