Maambukizi ya njia za mkojo ni maambukizi ya bakteria katika njia za mkojo. Yanapoathiri sehemu ya chini ya njia hizo, maambukizi hayo hujulikana kama sisititisi ndogo (maambukizi ya kibofu). Yanapoathiri sehemu ya juu ya njia za mkojo, maambukizi hayo hujulikana kama pilonifritisi (maambukizi ya figo).
Dalili katika sehemu ya chini ya njia za mkojo ni pamoja na uchungu wakati wa kukojoa na aidha kukojoa kila mara au kuhisi haja ya kukojoa (au zote mbili). Dalili za maambukizi ya figo huhusisha pia ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa