Uvimbe wa ubongo (kwa Kiingereza encephalitis) ni ugonjwa ambao husababisha ubongo kuvimba ghafla. Kwa kawaida husababishwa na virusi, bakteria (kwa Kiingereza Granulomatous amoebic encephalitis), au vijidudu vingine. Kadiri ubongo unavyovimba, huweza kuharibiwa wakati unapokwaruzana na fuvu.
Uvimbe wa ubongo unaweza kusababisha dalili hatarishi kama vile kupata kifafa na kiharusi, na hii inaweza kuwa mbaya zaidi.
Mwaka 2013, ugonjwa wa uvimbe wa ubongo uliua watu 77,000 duniani.
Kwa kawaida, watu ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa