Kipandauso ni tatizo linalotambulika kwa maumivu ya kichwa yanayojirudia tena makali hadi kiasi cha kupindukia na ambayo wakati mwingi huambatana na dalili nyingi za mfumo wa neva.
Jina la Kiingereza 'Migraine' limetoka katika neno la Kigiriki ἡμικρανία (hemikrania), 'uchungu kwa upande mmoja wa kichwa', kutoka ἡμι- (hemi-), 'nusu', na κρανίον (kranion), 'fuvu la kichwa'.Kwa kawaida, maumivu hayo huathiri sehemu moja ya kichwa, huku kikidunda kwa muda wa saa 2 hadi 72. Dalili zinazohusiana na hali ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa