Ugonjwa wa kidonda cha duodenamu (UKD), huitwao kwa kawaida kidonda cha tumbo, ni mpasuko katika sehemu ya juu ya tumbo, sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo, au mara chache umio. Kidonda tumboni huitwa kidonda cha tumbo huku kile kilicho kwenye sehemu ya kwanza ya matumbo kikiitwa kidonda cha duodenamu. Dalili ya kawaida sana ni kuamka usiku ukiwa na maumivu ya fumbatio la juu au maumivu ya fumbatio la juu ambayo hupungua unapokula. Maumivu haya mara nyingi huelezwa kuwa maumivu yayanayochoma au yasiyo ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa