Saratani ya ini ni kansa ambayo huanza katika ini, kinyume na kansa ambayo huanza katika kiungo kingine na kuenea kwenye ini, inayojulikana kama metastasis ya ini. Ili kuelewa kikamilifu kansa ya ini ni muhimu kuwa na ufahamu wa jinsi ya ini linavyofanya kazi. Ini ni mojawapo wa viungo vya mwili vikubwa zaidi. Liko chini ya pafu la kulia na chini ya mbavu. Ini limegawanywa katika sehemu mbili: ya kulia na ya kushoto. Protini huchukuliwa na ini kutoka kwa mshipa wa portal, ambao hubeba damu iliyo ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa