Saratani ya endometriamu ni saratani inayotokana na endometriamu ( utando wa uterasi au tumbo la uzazi). Hii hutokana na ukuaji usio wa kawaida wa seli zenye uwezo wa kushambulia au kuenea katika sehemu zingine za mwili. Ishara ya kwanza mara nyingi huwa hali ya kutokwa na damu ukeni isiyohusishwa na hedhi ya kila mwezi. Dalili zingine zinajumuisha maumivu wakati wa kukojoa, maumivu wakati wa ngono au maumivu ya pelvisi. Saratani ya endometriamu hutokea mara nyingi baada ya ukomohedhi.
Takriban ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa