Sklerosisi ya kimiotrofia ya pembezoni (kwa Kiingereza Amyotrophic lateral sclerosis, kifupi ALS), ambayo pia hujulikana kama Ugonjwa wa Lou Gehrig na ugonjwa wa Charcot, ni hali inayohusisha kuharibika kwa nyuroni. Barani Ulaya jina ugonjwa wa nyuroni mota (MND) hutumika sana, ilhali wengine hutumia jina hilo kwa kundi la hali ambapo ALS inapatikana sana.ALS hubainishwa kwa misuli migumu, kushtuka kwa misuli na udhaifu unaokithiri kutokana na kupungua kwa ukubwa wa misuli. Hii hupelekea ugumu katika ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa