Homa ya dengi (pia: ndengi; kwa Kiingereza: Dengue fever) ni ugonjwa wa kitropiki unaosababishwa na virusi vya dengi (Dengue). Mbu wa kike wa aina ya Aedes, hasa A. aegyptindiye anayesambaza virusi hivyo. Homa ya dengi pia hujulikana kama 'homa ya kuvunja mifupa' kwa sababu inaweza kuwafanya watu wawe na maumivu makali hadi wahisi kama mifupa yao inavunjika.
Dalili za ugonjwa huu huanza siku tatu hadi kumi na nne baada ya kuambukizwa. Baadhi ya dalili ni joto jingi mwilini; kuumwa na kichwa; upele ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa