Uvimbe wa sikio ni kikundi cha magonjwa ya uvimbe wa sehemu ya katikati mwa sikio. Aina mbili kuu ni uvimbe mkali wa sikio (AOM) na uvimbe wa sikio ulio na mchozo (OME). AOM ni maambukizi yanayoanza ghafla yanayodhihirika kwa maumivu ya sikio. Katika watoto wadogo, maumivu haya yanaweza kupelekea kulia sana, na ugumu wa kulala. Decreased eating and a fever may also be present. OME is typically not associated with symptoms. Mara kwa mara, mgonjwa huhisi kujaa sikioni. Ugonjwa huu hufasiliwa kama uwepo ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa