Ugonjwa wa kupooza au polio (kutoka Kiing. polio) ni ugonjwa wa kuambukiza wa mfumo mkuu wa neva unaosababishwa na virusi maalumu. Jina refu la kisayansi ni Poliomielitisi na jina jingine ni kupooza utotoni.
Msingi wa maambukizo ni uwezo wa virusi wa kuingia kwenye kiini cha seli na kuzalisha chembe ya ziada ya kuambukiza.Virusi vya polio ni virusi vya tumbo. Maambukizo hutokea kupitia njia ya kinyesi - njia ya mdomo kwa maana mtu hula virusi ambavyo huzaliana katika njia ya mdomo.Virusi humwagwa ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa