Ukoma (pia ugonjwa wa Hansen; kwa Kiingereza: leprosy) ni ugonjwa wa kuambukiza wa kudumu unaosababishwa na bakteria Mycobacterium leprae na M. lepromatosis .
Baada ya ambukizo kuna kipindi ambapo mgonjwa hana dalili za ukoma. Kipindi hicho bila dalili kinaweza kuendelea hadi miaka 5 au hata miaka 20. Dalili zinazoonekana ni kwa mfano vidonge vya chembe vya neva, vya mfumo wa upumuaji, vya ngozi na vya macho .
Wakati dalili zinapoanza kuonekana mgonjwa hasikii tena baridi, joto wala maumivu. Kwa ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa