Homa ya rumatizimu (kwa Kiingereza: rheumatic fever; kifupi chake: ARF yaani homa kali ya rumatizimu) ni ugonjwa wa kuvimba unaoweza kuhusisha moyo, jointi, ngozi, na ubongo. Ugonjwa huu hujijenga majuma mawili hadi manne baada ya maambukizi ya koo.Ishara na dalili ni joto jingi, maumivu mengi ya jointi, kwenenda kusikohiari kwa misuli, na vipele visivyo vya kawaida visivyowasha vijulikanavyo kama erythema marginatum. Moyo huhusika katika takribani nusu ya visa. Uharibifu wa kudumu wa vali za moyo, ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa