Kichocho (pia schistosomiasis au bilharzia) ni ugonjwa ambao minyoo midogo ya aina ya schistosoma inaingia mwilini na kusababisha mwasho wa ngozi katika viungo mbalimbali, homa, udhaifu na baada ya muda damu katika kinyesi na maumivu tumboni.
Kuna takriban watu milioni 200 duniani walioambukizwa na kichocho.
Asilimia kubwa wanaishi Afrika kwenye maeneo ambako hadi nusu ya wakazi wote wameambukizwa
Hali ya ugonjwa inatokea ama polepole ambako wagonjwa mara nyingi hawana dalili kwa muda mrefu ama kwa ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa