Kandidiasisi ni maambukizi ya kuvu yanayotokana na aina yoyote ya Kandida (aina ya chachu).Maambukizi hayo yanapoathiri kinywa, kwa kawaida huitwa uotokuvu (au Kandidiasisi ya kinywa). Ishara na dalili zinajumuisha madoa meupe kwenye ulimi au sehemu nyingine za kinywa na koo. Dalili nyingine zinaweza kujumuisha maumivu na matatizo wakati wa kumeza.Maambukizi hayo yanapoathiri uke kwa kawaida huitwa maambukizi ya chachu. Ishara na dalili zinajumuisha kujikuna kwenye uke, mwasho na wakati mwingine ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa