Kikope (Kwa Kiingereza conjunctivitis) ni ugonjwa wa jicho ambao humpata mtu iwapo konjaktiva ya jicho inakuwa nyekundu. Sababu ya kikope inaweza kuwa maambukizi ya virusi au bakteria.
Jicho kuwa na rangi nyekundu, uvimbe kwenye konjunktiva, na macho kutoa machozi mengi ni dalili za kawaida kwa aina zote za kikope.
Ugonjwa wa kikope huweza kutambulika kirahisi kwa dalili kama kuwashwa kwa macho na konjaktiva kuwa na rangi nyekundu. Isipokuwa katika aina nyingine za kikope huhitaji vifaa maalum ili ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa