Matumbwitumbwi (kwa Kiingereza: 'mumps') ni ugonjwa unaotokana na virusi ambao unapata binadamu tu.
Dalili za kawaida zaidi ni homa, maumivu ya kichwa, harufu mbaya na uvimbe katika tezi na mapumbu.
Kuna chanjo dhidi ya surua, matumbwitumbwi na rubela.
Jina la ugonjwa huo kwa Kiswahili limetokana na matumbwitumbwi (au matubwitubwi au machubwichubwi) ambayo ni uji wenye vibonge vidogovidogo vya unga.
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa