Homa ya Zika (kwa Kiingereza Zika fever) ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Zika, jamii ya jenasi Flavivirus.
Dalili zake zinafanana na zile za virusi vingine vya jenasi hiyo, kama vile Homa ya dengue au alfavirusi chikungunya, lakini ni afadhali kidogo na kwa kawaida zinadumu siku 4 hadi 7 tu. Asilimia kubwa (60–80%) hazina dalili za pekee.Wagonjwa wenye dalili wana homa kidogo, conjunctivitis, maumivu ya muda kwenye jointi (hasa zile ndogo za mikononi na miguuni) na mwasho ambao mara nyingi ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa