Bawasiri (au Kikundu au Futuri au Puru au Mjiko au Hemoroidi kutoka Kiingereza hemorrhoid) ni hali ya kutuna kwa mishipa ya damu katika mfereji wa mkundu ambayo husaidia kudhibiti kinyesi. Katika hali yake ya fiziolojia, hutenda kazi kama mto uliotengenezwa kwa njia ya vena na tishu unganishi. Huwa patholojia ikiwa hufungana kwa kuvimba au kupata inflamesheni.
Dalili za hemoroidi hulingana na mahali. Hemoroidi za ndani kwa kawaida hujitokeza kwa kinyesi kilicho na damu bila maumivu, ilhali hemoroidi ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa